Natafuta mke

Natafuta mke

age 25-30yrs
Shule-graduate fani yoyote
Dini-mkristo
Kabila lolote
Kama ana mtoto isiwe zaidi ya mmoja
Kama atakua yupo maeneo ya mikoa ya mwanza,simiyu,musoma itakua vzur zaidi
NB:asiwe mlevi,mshika tunguri
Im so so serious
Yupo ila anasoma bacheor in educatio.
 
Una moyo mkuu kama umefika hadi huku......umezunguka mitaa na vijiji vyote umekosa ukaona huku utampata....?
 
age 25-30yrs
Shule-graduate fani yoyote
Dini-mkristo
Kabila lolote
Kama ana mtoto isiwe zaidi ya mmoja
Kama atakua yupo maeneo ya mikoa ya mwanza,simiyu,musoma itakua vzur zaidi
NB:asiwe mlevi,mshika tunguri
Im so so serious
Ndio wewe Mwanetu wa Achompong Clan uliyekuwa nasi Arusha au?
 
Nakuombea Dua Upate Mke Mzuri mwenye Tabia Njema... Usisahau kutualika...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom