katto14 JF-Expert Member Joined Jul 28, 2016 Posts 226 Reaction score 62 Nov 4, 2016 #1 Mimi ni kijana wa miaka 30 nimeajilriwa natafuta msichana wa kuoa anayejielewa awe na miaka 20-28 awe na shughuli inayomwingizia kipato aliye tayari tuwasiliane pm
Mimi ni kijana wa miaka 30 nimeajilriwa natafuta msichana wa kuoa anayejielewa awe na miaka 20-28 awe na shughuli inayomwingizia kipato aliye tayari tuwasiliane pm
rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,113 Reaction score 18,742 Nov 4, 2016 #2 Wangoje watakuja
Mustaphagentleman JF-Expert Member Joined Jun 22, 2016 Posts 3,953 Reaction score 3,032 Nov 4, 2016 #3 Ngoja nikupe namba kuna dada anatafuta bwana