Natafuta mke

Dah ila wa huku wazuri xna isipokuwa wamenishind yaan kweny mambo yet hna kitu zaid m****ji meng xna mkuu cjui lama utarizika
Hapo unatafuta mke au unatafuta anayejua kugegedana?
 
Dah ila wa huku wazuri xna isipokuwa wamenishind yaan kweny mambo yet hna kitu zaid m****ji meng xna mkuu cjui lama utarizika
Hao ndio wazuri, shida ya maji mtaisikia kwa majirani zenu, 'cause kule utaoga na kufua kabisa.
 
Nataka mke huo mgegedo ni nyongeza mkuu
Usikilize moyo wako hata hapa bongo wapo!
Ukiwaza mgegedo utishia kuonjaonja kama sukari...
Halafu huyo anayejua kugegedana akikusaliti na wewe utajitusha kutoka ghorofani
 
Haya, walimu, manesi na wajasiriamali njooni!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…