Natafuta mke wa kuowa ambaye ni Mcha Mungu

wirewizard

Member
Feb 14, 2014
75
56
Habari wanaJf.

Natafuta mke wa kuowa ambaye ni Mchamungu hata kama akiwa mgumba ni sawa tu. Nina watoto 4 (age yao ni 6yrs to 13). Mimi nina miaka 43. Mimi ni muislam wa vitendo na ninaishi Dar es Salaam

Ningependa my wife to be awe ana umri kati ya miaka 30 to 40.

Napenda mtu awe Serious, kabla ya kuni-PM.

Karibuni sana ndugu zangu katika Imani na Upendo wa kweli wa Mungu.

Asanteni.
 
Ngoja niwahi pm kusije kukajaa
 
Mama watoto wapo wapi??
 
kuowa au kuoa
 
Inshallah shukurani ndg.. ALLAH akinijalia.. Nitapata tu.... Inna LLAH
Maswabirin.. MUNGU yupo pamoja ma wenye kusubiri...
 
Inshallah shukurani ndg kwa kunitakia mema.... Inna LLAH Maswabirin... MUNGU yupo pamoja na wenye kusubiri..!,,,,,,,,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom