Natafuta mke wa kuoa

Natafuta mke wa kuoa

makmugani

Member
Joined
Jul 21, 2015
Posts
37
Reaction score
6
Nihitaji mwanamke wa kuowa, Mimi ni kijana wa kiume nimeajiliwa katika kampuni moja ya fedha hapa Dar, mashart awe mweusi, mnene wastani na mrefu wakati, elimu haijalishi na awe tayari kwenda kupima UKIMWIkabla ya yote!
 
Kuna mtu alinambia wanawake weusi kiasili ni watam sana kuna ukweli mlo pitapita huko
 
Nihitaji mwanamke wa kuowa, Mimi ni kijana wa kiume nimeajiliwa katika kampuni moja ya fedha hapa Dar, mashart awe mweusi, mnene wastani na mrefu wakati, elimu haijalishi na awe tayari kwenda kupima UKIMWIkabla ya yote!

Ni pm nna vigezo vyako vyotee 😆😆😆
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom