Habari wana Jf,
Najitokeza kwa mara yakwanza kusaka mke wakuoa kupitia jf kwani mke anapatikana popote alipo panga mungu.Mimi Ni mwanaume mwenye umri wa miaka 28 ni mfanya biashara natafuta mke wakuoa umri 23-35, awe hana mtoto,sina ubaguzi wa elimu, dini, kabila, wala rangi. Karibu sana mwanamke single ambae unamadhumun ya dhati kuishi ktk ndoa daima kwani hutojutia,ni pm kisha weka namba ya simu kwa mawasiliano zaidi.
Nahitimisha asanteni