Natafuta mke wa kuoa

Natafuta mke wa kuoa

Ma2016

Member
Joined
Dec 20, 2014
Posts
10
Reaction score
0
Natafuta mke wa kuoa, mimi najitegemea, ni mwanaume mwenye umri wa miaka 30.

Mke nimtakae awe miaka 28 nakuendelea.
 
Sasa nikwamba macho yako mabovu au ndo unataka uboss hata katika hili
 
Nakupongeza sana kwa kutambua hitaji lako.Ila mimi nakushauri mtafute wewe mwenyewe katika mazingira uliyopo ili uweze kuipa akili yako changamoto za moja kwa moja katika kuona,kutambua,kutamani,kujifunza kupenda,kushawishi na kusotea kwa muda mkuu.😀😀😀
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom