C cangeofrey Member Joined Jun 7, 2015 Posts 15 Reaction score 0 Jun 14, 2015 #1 Mimi naitwa Can Geofrey nina umri wa miaka 32, natafuta mke wa kuoa awe mzuri wa sura na mwenye tabia nzuri, mkiristo, mwenye umri miaka 18~27, kabila lolote, taifa lolote, elimu yoyote sibagui. Alietayari ani pm
Mimi naitwa Can Geofrey nina umri wa miaka 32, natafuta mke wa kuoa awe mzuri wa sura na mwenye tabia nzuri, mkiristo, mwenye umri miaka 18~27, kabila lolote, taifa lolote, elimu yoyote sibagui. Alietayari ani pm
bahaticaro Senior Member Joined Jul 20, 2012 Posts 100 Reaction score 31 Jun 14, 2015 #2 mwanamke mzur kwako anatakiwa awe je?na tabia je? na wew ni mzur?
englibertm JF-Expert Member Joined May 1, 2009 Posts 9,252 Reaction score 6,209 Jun 14, 2015 #3 Kila mtu anataka mke mzuri,duu .