Sasa nikiwa na sura nzuri sina pesa tutakula nini hii sura au? Kiufupi wewe sema haupo tayari..
Ukiwa na sura nzur naridhika wakat wa kufanya mapenz si tunasahau shida zote.....
Hahahhahahaahaha huhuhuhu mbavu zangu.... Umetisha karibu basi nina sura nzuri...
Akaunti yako ya bank ina kiasi gani?????
Akaunti yako ya bank ina kiasi gani?????
Uwezo wa kukulisha mahari na harusi ya kifahari upo benk balance usiulize wewe niachie mimi
Bora umemuuliza atupiepo ka picha ka benk statement
Kujilisha kila mtu anaweza bhana, tupia kitu watu tujue Kama panasomeka.
Kujilisha kila mtu anaweza bhana, tupia kitu watu tujue Kama panasomeka.