MPENDA USAWA
Senior Member
- Oct 15, 2012
- 169
- 30
Me ni kijana wa 24,nimemaliza udsm,
Nimejiajiri nafanya biashara kati ya Tz na kenya,
Muislam kwa dini,
Makazi kwa sasa ni Arusha kutokana na biashara zangu ila ni mzaliwa wa dsm,
Natafuta mchumba ili nioe,
Vigezo vya mrembo huyoo lazima awe mwembamba(ugonjwa wangu),
Ajielewee,
Asiwe demu wa mizinga ndo kwanza naanza maisha!!
Umri asinizidi,
Awe tayari kupima HIV,
Pia mvumilivu kigezo kikuu,
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums