Natafuta mke wa kuoa

blessings

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
6,983
6,237
Salam!
Mimi ni kijana wa Kitanzania,umri miaka 34,nafanya kazi Arusha, natafuta mwanamke wa kuoa awe na umri kuanzia miaka 30,mkristo, mwaminifu, awe mnene kiasi, hata akiwa na mtoto mmoja si mbaya. Please only SERIOUS LADIES ARE WELCOMED (u can PM me). Jokers keep yourself off from this advert.
 
Mimi siyo mwanamke ,maadamu umelete hoja jamvini ,naomba nikupe ushauri huu, ni muhimu sana....hakuna mke mzuri atakaye kufaa,kukusikiliza,kukushauri ,mwenye sifa zote,mjenzi wa nyumba yako,mkarimu,mwema mithili ya ester tunayemsikia ndani ya biblia kama huyu....mwombe mungu ndani ya miezi 6 tu kuhusu hamu yako juu ya kuwa na mke uone kama hatakujibu.ikiwezekanatoa sadaka ya shukurani juu ya hili ombi , bahati nzuri una kazi kwa hiyo hata sadaka hii haikushindi...hakika kwa imani utakuja niambia juu ya huu ushauri...mungu wetu ni mwaaminifu kuliko unavyofikiria na kuwaza,kitendo cha kutuandikia hapa ni mpango wa mungu... Chukua hatua uone.ahsante
 
Hapo kwa kweli nimekwalifai na niko sirias.. Ila Tatizo niko Dar.. Unaweza toka Arusha unifate mie hapa Dar? Ni PM..
 
umefunguka vizuri sana,Nina sifa uzitakazo baba, ila sina access ya pm, Mungu akusaidie upate mke mwema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom