Natafuta mwanamke wa kuoa mwenye umri kuanzia miaka 30-37,Dini awe mkristu,mwenye upendo wa kweli.
Sifa zangu umri 38,mkristu,mpambanaji pia,. Tuwasiliane kwa namba 0722762837. Karibu Sana tuanzishe familia ya upendo, Aman,nafuraha.
Ni sawa, ndio namwambia sio njia sahihi aliyoitumia kwa kutafuta mke, wapo waliolalamika humu humu na thread zipo kwamba wanaandika bandiko la kutafuta mke wameishia patupu