Natafuta mke wa kuoa

Natafuta mke wa kuoa

Strongmind

Member
Joined
Jun 22, 2016
Posts
37
Reaction score
29
Kwa jina naitwa Jonathani nipo Geita, kazi yangu mkulima. Natafuta mke wa kuoa awe mcha Mungu mwenye elimu kuanzia form 4 na kuendelea mrefu kuanzia futi 6.5 nakuendelea maji ya kunde au mweupe umri kuanzia miaka 19-26 awe serious na ndoa uwe tayari kuishi popote hapa Tz.

Kwa aliyetayari awasiliane nami kwanjia ya Email nfumakhule@gmail.com au simu namba 0625805834.

Kama haikuhusu kaa kimya matusi sitaki.
 
Futi 6.5 unaijua? Mi ningekua hizo futi ningekua ulaya saizi nacheza Basketball.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom