DOKEZO JF-Expert Member Joined Jan 17, 2014 Posts 324 Reaction score 504 Mar 2, 2015 #1 Ni kijana wa kiume,nina miaka 30,mrefu kidogo sio mfupi,nimeajiriwa nafanya kazi.natafuta mke wa kuoa awe mwarabu,umri kati ya miaka 20-27. naomba niPM kwa aiye siriaous.
Ni kijana wa kiume,nina miaka 30,mrefu kidogo sio mfupi,nimeajiriwa nafanya kazi.natafuta mke wa kuoa awe mwarabu,umri kati ya miaka 20-27. naomba niPM kwa aiye siriaous.
rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,113 Reaction score 18,744 Mar 2, 2015 #2 Nimekua nikisikia wanawake jamii ya hindi na arabu huwa wanachaguliwa waume na wake toka wadogo.