Natafuta mke wa kuoa anaeishi Kibaha

Natafuta mke wa kuoa anaeishi Kibaha

katoko

Member
Joined
Jan 4, 2015
Posts
18
Reaction score
6
Habarini wakuu,

Natafuta mke wa kuoa anaeishi Kibaha atapewa kipaumbele, umri wangu ni miaka28 nipo siingle sijaoa, mke ni mtakae awe mweupe, elimu kidato cha sita na kuendelea, asiwe na mtoto umri wake 23-30.

Kama upo tayari ni pm unakaribishwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom