Natafuta mke wa kuoa 2015

Natafuta mke wa kuoa 2015

Shasya

Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
10
Reaction score
0
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 29,elimu ni chuo kikuu,ni mwembamba kiasi ni mfupi kiasi alafu ni mweusi. nimtakae awe na umri wa miaka 20-27,elimu yake awe na masters,mweupe,asiwe mrefu,wala ubonge sana.Awe anaishi Dar es salaam,Pwani au Morogoro.

Aliye Tayari Ani Pm kwa mawasiliano zaidi.
 
Hiyo masters nayo ni sling ya chuo kikuu.?
 
Ww mwehu kweli master alafu umri huo 20-27 subir utampata sasa hivi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom