natafuta mke wa kumweka ndani

natafuta mke wa kumweka ndani

man of the year

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
422
Reaction score
205
habari zetu waungwana natumaini mpo sawa na mnaendelea na shughuri zenu za kila siku,dhumuni lililonifanya niweke ili bandiko n nia yangu ya kutaka kuoa hivi karibuni kama kuna mrembo mwenye hizi sifa naomba uniunganishe...

SIFA
1.awe ameisha tumia katika ujana wake mihadarati(atapewa kipaumbele)

2.hasipende kujichanganya kwa watu katika jamii tutakayo kuwepo(majirani)

3.hawe amesoma japo mpaka form 6 au amewai kuishi nchi yoyote ugaibuni

Asanteni sana.
 
Unatafuta mke wa kumuweka ndani??? Ndani segerea au gereza la keko????? Kwani kakukosea nn??? Hadi umuweke ndani. Utashtakiwa na watu wa haki za binadamu shauri yako. Au unataka kumfuga awe jini???
 
Duh we hatari ninavyoona mm huna haja na mke ila unataka papuchii na kufundishwa lugha
 
Humu wamo wanaopenda kuwekwa nje hawapendi kabisa kuwekwa ndani, kila la heri.
 
Huyo anatafuta funiture ya kuweka ndani so muelekezeni funiture centre nk atapata sawasawa na haja ya moyo wake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom