katto14 JF-Expert Member Joined Jul 28, 2016 Posts 226 Reaction score 62 Feb 11, 2017 #1 Mimi ni mwanaume wa miaka 30 natafuta msichana wa kuishi nae kama mke wangu hapo baadae awe na miaka 20 mpaka 26. Aliye serious tuwasiliane awe na shughuli ya kufanya.
Mimi ni mwanaume wa miaka 30 natafuta msichana wa kuishi nae kama mke wangu hapo baadae awe na miaka 20 mpaka 26. Aliye serious tuwasiliane awe na shughuli ya kufanya.
Mfitinishaji JF-Expert Member Joined Oct 12, 2015 Posts 572 Reaction score 600 Feb 11, 2017 #2 Wanao hitaji wavulana wamekusikia
katto14 JF-Expert Member Joined Jul 28, 2016 Posts 226 Reaction score 62 Feb 11, 2017 Thread starter #3 katto14 said: mimi ni mwanaume wa miaka 30 natafuta msichana wa kuishi nae kama mke Wangu hapo baadae awe na miaka 20 mpaka 26 aliye serious tuwasiliane awe na shughuli ya kufanya Click to expand...
katto14 said: mimi ni mwanaume wa miaka 30 natafuta msichana wa kuishi nae kama mke Wangu hapo baadae awe na miaka 20 mpaka 26 aliye serious tuwasiliane awe na shughuli ya kufanya Click to expand...
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,793 Reaction score 1,251,527 Feb 11, 2017 #4 Wewe ni mwanaume bana. Wavulana wapo chekechea
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 34,961 Reaction score 80,240 Feb 11, 2017 #5 Kila la kheri kamanda
mxsdk JF-Expert Member Joined Aug 11, 2014 Posts 3,585 Reaction score 2,056 Feb 11, 2017 #6 Una sababu gani ya kuanzisha Uzi wakati kuna wanawake wameanzisha nyuzi nyingi za kutafuta waume tena wenye sifa kama zako!
Una sababu gani ya kuanzisha Uzi wakati kuna wanawake wameanzisha nyuzi nyingi za kutafuta waume tena wenye sifa kama zako!
donpier91 JF-Expert Member Joined Sep 15, 2016 Posts 440 Reaction score 370 Feb 14, 2017 #9 jeanette mwamkoa said: Haya 0655221089 Click to expand... [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji8] [emoji8]
jeanette mwamkoa said: Haya 0655221089 Click to expand... [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji8] [emoji8]