Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,900
Dogo au serious na mke unaemtafuta? Yaani ni bora hata awr anajiuza Kona Bar au Kimboka ila asiwe shabiki wa Chelsea???
Inawezekana una 34 lakini bado ni mvulana, hujaanza kujitambua bado!
Mimi ni Mwanaume wa miaka 34 ninatafuta Mke wa kuoa haraka iwezekanavyo, sina Mtoto dini ni mkatoliki nataka kuoa haraka!
Sichagui Dini wala kabila wala rangi yoyote tu nipo tayari.
Shart ni moja tu!
Lazima awe mshabiki mwaminifu wa Chelsea. Kama wewe si mshabiki wa Chelsea usitume SMS in box pls.View attachment 306939
Haahahahaaha too bad im a die hard fan wa crystal palace!!!😂😂😂😂😂