Natafuta mke. Serious

njilebajaji

Member
Joined
Sep 4, 2016
Posts
10
Reaction score
1
Mimi ni kijana wa kiume, nipo single, nimeajiriwa serikalini. Nina miaka 33. Natafuta mke. Awe na umri chini ya miaka 35. Sichagui dini. Kwa yeyote atakaekuwa tayari tuwasiliane 0689027050
 
Mimi ni kijana wa kiume, nipo single, nimeajiriwa serikalini. Nina miaka 33. Natafuta mke. Awe na umri chini ya miaka 35. Sichagui dini. Kwa yeyote atakaekuwa tayari tuwasiliane 0689027050
Hahaaa, yan ulowahi ku- do nao wako wp???
 
You are crazy my fellow, just use your mind to analyze categories of women that you want. Wanawake wote ni wazuri lakini si kwa kila mwanaume.
Nisamehe.Nimekujibu hivi kwa hasira tu.
Kosea kuoa utaomba ufe au utajiona uko sawa kumbe umegeuzwa msukule hai.
 
Wasiliana na miss Natafuta.Nilisoma Comment yake jana kwamba anatafuta kuzaa mtoto kwa hiyo mkiwasiliana mnaweza kupata muafaka maana mtoto na ndoa zinaendana.
 
Wasiliana na miss Natafuta.Nilisoma Comment yake jana kwamba anatafuta kuzaa mtoto kwa hiyo mkiwasiliana mnaweza kupata muafaka maana mtoto na ndoa zinaendana.
How can I contact her??
 
Njilebajaji....usitafute mke,badala yake tafuta mpenzi,kwa taarifa yako MKE ni matokeo,.....kabla ya kupata MKE kuna mchakato unaohitaji muda na rasilimali nyingine ikiwa pamoja na wewe mwenyewe....Nakusahuri tafuta mpenzi kwanza,ishi kwenye mapenzi,usiogope kuwa na wengi na kwa wakati mwingi,wacha moyo upende,kubali kudanganywa,kubali kuibiwa,kubali kila aina ya ubaya na uzuri pia,kisha utampata MKE,......wewe ni MUME na yeye ni MKE, je,huyo MKE ni nani?,rafiki,mpenzi,member wa jamii forum,mfanyakazi wa serikali kama wewe,mfanyabiashara,jirani,jamaa,ila si ndugu,MKE si dada yako,wala mama yako,wala MKE wa rafikio,....MKE ana raha,MKE ni mtamu,MKE ni jasiri,MKE ana UKE...tena mtamu,msafi,wako peke yako,..........ngoja kwanza nimsikilize huyu wangu,nitarudi kwani nasikia kaniita.......MKE kwanza..
 
hahahaa! id yako njile wewe, kwaio leo umemsahau yule mteja wako wa bajaji uliyemzoeza kumbeba bure! umechoshwa na mizinga! baada ya utan huo, turudi mada kuu: mkuu njilebajaji mwanamke waweza kumtafuta kwa mbinu yoyote lakini MKE hatafutwi kwa matangazo kama ya kununua simu, tv, hari, kiwanja, viatu, shati n. k. hata kama ni kwa urahisi wa utandawazi wa enzi hizi. fahamu ndoa ni taasisi na ina misingi na taratibu za kuijenga. ukishakosea hatua ya mwanzo utakuwa umeshachagua anguko la kishindo mbeleni. kikubwa; tuliza akili yako, tengeneza vigezo unavyohitaji MKEO awe navyo (wasifu) mwonekano wa nje, elimu, jamii alikokulia (maadili kwa ujumla wake), ucha Mungu na nidhamu ya mama huleta picha ya tabia ya watoto mkibarikiwa kuwa nao. ila ukiegemea sifa za mjumuiko (generalised) kumbuka huyo unayemtafuta sio mwanafunzi wa saikolojia na wewe sio mwalimu wake hadi ujiandae kumfunza, ni kuwa unamwandaa awe mshirika muhimu ktk ujenzi wa familia yenu. chonde usirudi mwakani hapa jukwaani na thread MSAADA: NAOMBENI USHAURI WA NDOA!
 
unafaa kutumwa kupeleka posa. nimependa MKE NI MTAMU.....! JF RAHA RAHANI
 
mmm chura hutaki???
hutaki mweupe mrefu???
mwenye masters na kazi ya maana...
ambae haombi hela..bikraπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Mmh, hii bikra inayozungumziwa hapa ni ipi au ya wapi jamn?
 
Hela huna ndio maana mtaani hujapata...tafuta hela kwanza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…