Natafuta mke sasa na si girlfriend

First time hapa hapa Jf amekuumiza, tena umerudi!!!, nakushauri zamia facebook, jamii kitaani, jamii kazini nk.
 

Yani we boya kweli! Unatafuta mke jf,haujui hata kutongoza unaona haibu pole sanaaa.... Kwa style hii utagong.e,wa sana mke wako,boya ww X 100
 
Hujambo Evelyn?
Wifi yako leo umemuona?

sijambo...nimemuona yule white, yule black beauty kaadimika hata yule mwingine nae simuoni siku hizi teh teh
lazma upigwe vichwa leo....
 
Last edited by a moderator:
sijambo...nimemuona yule white, yule black beauty kaadimika hata yule mwingine nae simuoni siku hizi teh teh
lazma upigwe vichwa leo....

Si unajuwaga mie straika so acha waadimike nifanye yangu
 
hivi mnatambuaje mtu akiwa na zaidi ya id 5 maana wewe umeshafahamu hebu nami nifahamishe bestito
Mkuu kuna uzi ulipita juzi hapa unaelezea marafiki w JF, hasa wanaotafuta wachumba MMU kuwa wana IDs lukuki. Ukatolewa mfano kuna mdau alikuwa anatafuta mke "shemale", yeye ana ID saba nyingine za kike. Sasa ndo nimemuuliza huyu bwana hii ni ID yake ya 5 ama?
 
Oky nimekuelewa mkuu nilifikiri mna njia za kuwatambua hao wenye hizo double double
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…