Natafuta mke sasa na si girlfriend

Allency

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2011
Posts
15,931
Reaction score
15,706
Kwa kuokoa mda natumai wote msomao uzi huu mko poa,
Jioni hii najitokeza tena kwa mara ya pili kutafuta mchumba wa kuwa mke na si girlfriend or otherwise,
Hii inakuja baada ya kupitia hard time ya relationship flani ambayo nlipata hapa hapa JF suluhu yake.
Wasifu wangu kwa kifupi:
Umei wangu ni 27
Mwembamba kiasi
Employed
Current living alone:
Elimu BSc.in........
Haya ni kwa kifupi tu kuhusu mim

Back kwa anayetafutwa

Black/ White but slim,
Not short
Elimu kuanzia 4m4 si mbaya lastly awe
Well determined.
Ni pm kama waona unafit ama mim nafiti kwako ili nkupe mawasiliano zaidi
 
Sure, ndo mana mim hutumia same id kwa lolote ili kuwa wazi mtu anifahamu vizuri
 

Pole ndugu yangu,kwamfumo huu utaowa sana.
 
Sawa mchumba....pamoja na yote wenye roho ngumu tunakuja huko pm
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…