Alien pilot
Senior Member
- Dec 29, 2017
- 194
- 225
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu njoo umuoe mama yangu nipate baba na nipate kujakutembea Dodoma.
Wewe chalii una umri gani?Mkuu njoo umuoe mama yangu nipate baba na nipate kujakutembea Dodoma.
Nina miaka 37, mkuuWewe chalii una umri gani?
Sawa endelea hivyohvyoNina miaka 37, mkuu
Kuendelea na kitu gani mkuuSawa endelea hivyohvyo
Uyo aliyekataa kwenda nawe ulimtoa huku jf?Kama nilivyo jieleza natafuta mke wa kufanya naye maisha baada wa kwangu kukataa kwenda na mm Dom so tumeacha kasema yy hawezi kuacha kazi ndo mume wake wa kwanza na c mm so nimeamua kujiengua bint aliye tayari ani pm mwisho 5wakwanza Nita chambua ntapata aliye sahihi kisha account hii naifuta coz ctapenda nimkwaze mke wangu mpya
Ndio nilmpta huku kwani vpUyo aliyekataa kwenda nawe ulimtoa huku jf?
Huko unakotoka, unakopita na unakokwenda hakuna wanawake?
Au umesikia wanawake wa jf ni wazuri na wema Sana kuliko wa nchi kavu uraiani?
Huu nao ni Ujinga uliopindukia
Kwani safi mkuu! Endelea kuwapata huku mkuu, kazi njema!Ndio nilmpta huku kwani vp
Upo?Karibu sana Dodoma... Utapata tuu relax