Mkuu mimi Nawashangaa nyie mnaotafuta wake mitandaoni
Mfano mimi binafsi ikifika Muda WA KUOA na Sina mwanamke ambaye Nina mahusiano naye na hivyo inanilazimu kutafuta mke basi nitafanya kazi moja rahisi na kwenda zangu Kanisani na angalia Watoto.. Asee sikufich Kanisani hukosi chombo cha ukweli na advantage kubwa unayo pata ni kwamba unapunguza migogoro ya tofauti za kidini Ila pia unaweza umbahatisha mwenye hofu na MUNGU maana sio wote wanaoenda kusali wana Nia kweli ya kumtafuta MUNGU.. The same applies hata Kwenye misikitini kutegemea na dini yako.. Kwanini uhangaike humu jf. Bahati mbaya ni ngumu ku match