Natafuta mke mwenye sifa hizi (naomba tuweke utani pembeni katika mambo muhimu ya maisha)

Mi ninazo zote n the gud thing is I can also read your mind...
I have all cresdentials including the ones u didn't mention in this post.

BUT .. Nahitaji udondoshe hapa za kwako pia ili nsije anguka ktk mikono ya robot.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
HAWE NA SIFA ZIFUATAZO:
1. Awe anapenda mziki na movie not africa magic
2. Awe anapenda kutoka out night siku moja moja
3. Awe sio mweusi, sio mnene na sio mwembaba sana (matiti madogo na ---- la wastan)
4. Awe amemaliza frm six na kufaulu + elimu ya juu kuanzia stashahada
5. Awe anafanya kazi na anaishi dar
6. Awe anapenda ucheshi na mkarimu (ant stress)
7. Awe anapenda kujiendeleza na ana uchungu wa maendeleo
8. Awe anauwezo wa kujiongoza na kuongoza familia
9. Awe anapenda kufanya mazoezi na sio mvivu
10. AWE SIO MALAYA
11. Awe anamuogopa na kumueshimu Mungu
12. Option: awe na sauti nzuri na anapenda sports
13. Awe na ufahamu wa tekohama na digitali kwa ujumla
14. Awe chini ya miaka 27

Hapa labda umuumbe mwenyewe, hakuna mdada wa hivyo duniani!!
 
yani huna haja ya kutafuta tena mke umeshanipata..sifa zote ninazo ila mimi ni cococolour
 
Mi ninazo zote n the gud thing is I can also read your mind...
I have all cresdentials including the ones u didn't mention in this post.

BUT .. Nahitaji udondoshe hapa za kwako pia ili nsije anguka ktk mikono ya robot.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Good kama unazo zangu nimesha ziweka wew ndio uweke zako dear
 
Kama katika taifa lenye idadi ya watu millioni 44 hakuna mdada
Mwenye sifa hizi ni hatari
 
Back
Top Bottom