Pacha huyu kijana anakufaa kwelikweli, namfahamu vizuri. ana mali nyingi zisizohamishika kama:
1. Nyumba ya ulithi
2. Shamba hekali ishirini liko kigoma
3. Pia ana nguruwe wengi sana huko zanzibar
sema nae basi
pacha huyu kijana anakufaa kwelikweli, namfahamu vizuri. Ana mali nyingi zisizohamishika kama:
1. Nyumba ya ulithi
2. Shamba hekali ishirini liko kigoma
3. Pia ana nguruwe wengi sana huko zanzibar
sema nae basi
Kuhusu pesa alizonazo si fahamu ila ninachojua anatembea na pochi tatu
1. Inakuwa na USD
2. Inakuwa na Pound
3. Inakuwa na TZS
halafu anamuuliza binti unataka tutumie pochi ipi?
kuhusu pesa alizonazo si fahamu ila ninachojua anatembea na pochi tatu
1. Inakuwa na usd
2. Inakuwa na pound
3. Inakuwa na tzs
halafu anamuuliza binti unataka tutumie pochi ipi?