Wadau poleni na majukumu. Mimi ni mwanaume umri miaka 31 naishi dar nimeathirika na vvu. Hivyo natafuta mke mwenye vvu ili tuishi kwa matumaini. Nimetafakari muda wa kuoa umefika.Nina afya njema sana yeyote mwenye nia ya dhati ani pm
Wadau poleni na majukumu. Mimi ni mwanaume umri miaka 31 naishi dar nimeathirika na vvu. Hivyo natafuta mke mwenye vvu ili tuishi kwa matumaini. Nimetafakari muda wa kuoa umefika.Nina afya njema sana yeyote mwenye nia ya dhati ani pm
Yaani kuathirika ndio sifa pekee??!!! Love in between haihusu?!!!.. Mimi ni mwanaume umri miaka 31 naishi dar nimeathirika..natafuta mke mwenye vvu ili tuishi kwa matumaini. Nimetafakari muda wa kuoa umefika.Nina afya njema sana yeyote mwenye nia ya dhati ani pm
Mwenyezi MUNGU mwingi wa rehema atamlinda na kumpa maisha marefu.......Utapata mkuu.La msingi ukienda clinic Ni rahisi zaidi.
Uzi huu umepotea njia. mods please!
Mungu akuongoze katika mema na akuzidishie afya njema umpate mwenza atakayekupa raha na furaha...kumbuka kuumwa sio kufa kwa hiyo hupaswi kujisikia mnyonge kwa kuwa sote hapa duniani ni wapiti njia tu na kwa muumba tutarejea ingawa kila mmoja kwa style yake na kwa wakati wake AMEN.................
unashida gani huu uzi...
Uzi hauna shida, lkn naamini haukupaswa kuletwa jukwaa la siasa.
sawa mkuu nimekuelewa...labda ilikuwa strategy ya kuwafikia watu wengi...wengine wanasema watu wakiwa jukwaa la siasa wako serious zaidi!
Asante mkuu. Modes naona wameshahamisha. Wish u all the best
sawa kiongozi ila hiyo avatar yako kidogo nidhani wewe ndo uliyeleta mada...natania mkuu!
Health status siyo kigezo cha ndoa chamsingi ni upendo....wewe jamaa ni mbaguzi sana
Kweli mkuu tatizo wengi tunapumbazwa na mambo ya kidunia na kusahau kuwa hapa sisi ni wapitaji tu, ni kama mtu aliyepumzika chini ya mti wenye kivuli wakati safari yake bado haijaishaUmemfariji vizur sana, kuugua sio kufa... waathirika wapo wengi sio peke yake