YAHERI MUNGU
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 318
- 215
Mimi nina umri wa miaka 35 na ndiyo niko kwenye Ujasiliamali. Muda wangu sasa wa kuwa na mke naona kuwa ndiyo huu hapa.
Sijawahi kuwa na mwanamke kabla. Hivyo kwa sasa ninamuhitaji niwe naye. Mwanamke anayetakiwa awe chini ya umri wa miaka 35.
Makazi yangu mimi yako hapa Dar es Salaam. Kwa atakayekuwa tayari, tafadhari tuwasiliane kwa maongezi zaidi.
Asanteni.