Natafuta mke mfanyakazi awe mkristo

Natafuta mke mfanyakazi awe mkristo

fpricius

Member
Joined
Jul 17, 2014
Posts
19
Reaction score
4
Mimi ni ni mwalimu nimeajiliwa serikalini ninafundisha sekondari. najitokeza katika jukwaa hili kutafuta mwanamke mcha MUNGU. mwenye umri kuanzia miaka 24-30.

Kama upo nipigie kwa 0659336264 kumbuka kupima ni mhimu,niko serious.
 
KILA la kheri mwalimu.
 
Last edited by a moderator:
nipo tayali na ni mcha Mungu, vp dhehebu lako plz?
 
​utafanikiwa tu ticha ila kuwa makini humu kuna wanaume wanajidai wanawake na wanawake wanajidai wanaume wapo humu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom