Natafuta mke/mchumba

Natafuta mke/mchumba

kunawayao huku wanashida kweli na kuolewa wange kuona wagejipaga mstar
 
Nina 35yrs,maji ya kunde,mrefu kiasi,mnene kiasi,mkristo,naishi Dar es Salaam,Mwalimu sekondari,,sichagui kiwango cha elimu,dini,kabila,sura,rangi,kazi,umbo,kuzaa(aliye zaa watoto),anayehitaji ani PM,,kama huhitaji waachie wanaohitaji mwanaume

Mkuu nenda Pale Jagwani kuna mkutano wa Injili kuna wadada kibao wameenda pale mahsusi kutafuta waume
 
Siuchukue wanafunzi wako wanao maliza?

Yani weww sijui mwalim gani?? Au ni walinu wa UPR
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom