kaka, mcha Mungu anatafutwa kwa Mungu,sio kwa JF! Halafu kwenye maisha huwezi pata vyote. Ukitaka mcha Mungu, tegemea kukosa hayo mauzauza yako, ukiyataka nenda sehemu fulani pale mitaa ya usiku, utawapata wa maji ya kunde wengi, uchague hapo mmoja, muombe awe mkeo.