Chamchella
Member
- Jul 21, 2012
- 28
- 1
mi bado sijapata bado naniliu, aah eerr update ya 'mme wa mkataba', tenda bado ipo wazi??Nimependa hiyo ya 'ambae anashida kiukweli na mwanaume'. Subiri wanakuja
mhhh jamani kwani watalaka, wajane, single mothers hawafai kuolewa???? makubwaaaa. mwaya mtafutaji tafuta mwenza utapata niamini mie, wangu nimempata humu humu nampendaje sasa! na nadhani ananipenda pia sana tu.Mke wa ukweli ameshaolewa.... Umri umeenda huo we tafuta mke umri kwani wanawake wengi wa umri huo ambao hawajaolewa ni watalaka, wajane, single mothers etc.
mhhh jamani kwani watalaka, wajane, single mothers hawafai kuolewa???? makubwaaaa. mwaya mtafutaji tafuta mwenza utapata niamini mie, wangu nimempata humu humu nampendaje sasa! na nadhani ananipenda pia sana tu.
Nimekusoma mamie.....thnxwanafaa kuolewa mamii, ila unajua mtu anaposema anatafuta mke wa ukweli baadhi ya wamama tunatafsiri anataka kitu na box
mi bado sijapata bado naniliu, aah eerr update ya 'mme wa mkataba', tenda bado ipo wazi??
Submission date extended to 31/08/2012
Acha ugomvi.
Ugomvi gani ndugu?