Huyu simuelewi hata mimiZero kama zero sas sijui uko serious au umevurugwa? Maan ulisema umekinukisha dom au ilikua ni masiara?
Nahisi zero hayuko sawa.Huyu simuelewi hata mimi
HhhhhhhhhhhhhhhhhhjjhhKuna mwanamke nae anatafuta mme anaepumua... nadhani mtafutane, mchukuane mkapumuliane.
Zero wewe ni handsome acha stress ambazo hazina mpangoSoma tarehe halisi ya uzi huu mkuu na ule uangalie upi ulianza