Maisha yangu yote kwa kaumri changu miaka 25 nimetembea na wanawake 15. Wadada wawili kati ya hao tuliweka ahadi za kuona lakini chenga chenga zikatokea mwishoni .
Sasa nimeamua kutulia na kutafuta msichana ambaye nitaishi nae maishani jamani .kwa sasa kila nimuonaye naona ni mwongo. Je nifanyeje? Kwa mwenye ushauri mzuri anitafute kwa 0652380622.