Natafuta mke HIV positive aliye tayari

Natafuta mke HIV positive aliye tayari

pqrx2014

Member
Joined
Oct 15, 2016
Posts
6
Reaction score
2
Nina miaka 28, nimeokoka natafuta mke tutakayekubali kuishi pamoja. Umri kuanzia 22-26, elimu atleast form Six and above, awe mkristo na aliyeokoka.

Ni PM kama utakuwa tayari

Kukejeli si kuzuri ila ukijisikia kufanya hivyo unaruhusiwa pia.
 
Nina Miaka 28,nimeokoka..natafuta mke tutakayekubali kuishi pamoja. Umri kuanzia 22-26,elimu atleast form Six and above ,awe mkristo na aliyeokoka. Ni PM Kama utakuwa tayari

Kukejeli si kuzuri ila ukijisikia kufanya hivyo unaruhusiwa pia
Hapo kanisani wameisha ? Kaoe kijijini kwenu boss ! wanawake wa J|F watakulia hela tu !
 
Umesema mke HIV positive are u the same
 
Mungu akukutanishe na hitaji la moyo wako.
 
Nina miaka 28, nimeokoka natafuta mke tutakayekubali kuishi pamoja. Umri kuanzia 22-26, elimu atleast form Six and above, awe mkristo na aliyeokoka.

Ni PM kama utakuwa tayari

Kukejeli si kuzuri ila ukijisikia kufanya hivyo unaruhusiwa pia.
Nenda kwenye vituo vya huduma endelevu(CTC) Maana huko ndio utapata mchumba mwenye kigezo ulichotoa.
 
Nina miaka 28, nimeokoka natafuta mke tutakayekubali kuishi pamoja. Umri kuanzia 22-26, elimu atleast form Six and above, awe mkristo na aliyeokoka.

Ni PM kama utakuwa tayari

Kukejeli si kuzuri ila ukijisikia kufanya hivyo unaruhusiwa pia.
Bado nakumbushia
 
Pole sana mkuu.
Kila la kheri upate mke mwema kutoka kwa bwana. Ubarikiwe sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom