Natafuta mke au mchumba

Natafuta mke au mchumba

mr kyaka

Senior Member
Joined
Apr 6, 2015
Posts
193
Reaction score
53
Mimi ni mfanyakazi idara ya fedha katika halmashauri flani hapa Tz, natafuta mchumba au mke wa kuoa ambae yupo tayari na awe ni muajiriwa serikalini pia.
 
Nenda kambi ya fisi au magomeni kwa Macheni mkuu.


swissme
 
yani hii ni moja ya faida ya jf..hata wale wenye aibu na wasiojua kutongoza wanajipatia wachumba fresh kabisa..jf oyeeee..kila la kheri mkuu..wasipojitokeza niambie niwaite kwa majina
 
kweli jf sio kwa mabaya tu hata mazur pia
 
Ndugu yangu humu mke mwema ngumu kumpata wengi wana matatizo yao!
 
mimi ni mfanyakaz idara ya fedha ktk halmashaur flan hapa tz natafuta mchumba au mke wa kuoa ambae tayar ni muajiriwa serikalin pia.

That moment the doctor is prescribing for you medication and you just get scared and feel like saying
"Doctor if at all we are sharing a woman, I leave her for you."

Etithis one unakunywa 4x3, this one is a painkiller 2x3, these are for vitamins 5x3, these are for fever 2x3.
How does a man take something like 10 tablets at once? Jamani your prayers needed.

back to topic. You guy, naskiaga the Kyaka's from Kyaka-Kagera ni matapeli first class... arent you on a plot here?
 
Hahahaha jamaa amegundua wadada siku hizi wanapenda zaidi mkwanja ndio maana ameamua kuweka wazi kuwa anafanya kazi wizara ya pesa ili kuwavutia???
 
Sehemu yeyote iliyoendelea huwa haikos watu ainatofaut hata majambaz wapo
 
Hahahaha jamaa amegundua wadada siku hizi wanapenda zaidi mkwanja ndio maana ameamua kuweka wazi kuwa anafanya kazi wizara ya pesa ili kuwavutia???
sijasema wizara nimesema idara alafu sio kila anaefanya kaz idara ya fedha anashika pesa wengine niwahudumu wa ofisi tu !kwahy usije kwa kuvutiwa na hilo Neno fedha!
 
Unatumia usafiri gani,?unayo nyumba? Muonekano wako? Mfupi/mrefu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom