Natafuta mke aliye tayari na mvumilivu

Natafuta mke aliye tayari na mvumilivu

Sasa hii harusi itachezwaje na hata mahari utalipa nn maana huna kaz
 
Kwa hali uliyonayo ukifanikiwa kupata mke basi atakuwa mke wa ukweli. All the best.
 
Kwa hali yako ki ukweli utawaolea watu tafuta kazi kwanza ndoa zipo kwani usipooa utakufa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom