Natafuta Minazi ya muda mfupi

Ukijibiwa naomba unitag
 
Hiyo mbegu imekua adimu sana kupatikana. Sikushauri hata kidogo ununue kwa hawa jamaa wa mtaani wenye vitalu watakudanganya. Nenda sehemu maalum hasa wale wanaohusika na utafiti wa mbegu bora za minazi watakuelekeza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ushauri mzuri. Naomba kama unafahamu wanapohusika na utafiti wa mbegu za minazi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
fanya mawasiliano na wauzaji wa SUA kama huna mawasiliano ni PM nikupe mawasiliano yao
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…