Natafuta mihogo iliyovunwa

xfactor

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
1,511
Reaction score
1,290
Heshima yenu wakuu

Kama kichwa kinavyo jieleza, natafuta mihogo ninunue ambayo imesha vunwa
 
Njoo huku Bungu, Rufiji uichukue.
 
Embu weka mnofu kwenye thread..mihogo ya kununua au unataka bure...
 
Dah, bahati mbaya Dr Mihogo kagoma kurudi Bongo, angesaidia.
 
Mbegu inaitwa kikapu tele na haina mizizi na ni milaini,, bei bado sijapanga ndo naangalia soko likoje,,, wewe waweza nipa bei yako alafu nitapima,,
 
Mbegu inaitwa kikapu tele na haina mizizi na ni milaini,, bei bado sijapanga ndo naangalia soko likoje,,, wewe waweza nipa bei yako alafu nitapima,,
Hahahahaaaaaa....!!!
yani wewe una bidhaa alafu hujui unauzaje..!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…