lekete
Member
- Mar 21, 2016
- 15
- 19
Natafuta mtaalam/mganga wa ukweli. Kwa yeyote ambaye amewahi kupata huduma kwa mtaalamu na akamfanikishia, tafadhari ni PM unisaidie maelekezo ya alipo huyo mtaalamu. Sihitaji wahubiri hapa, hata mimi Mungu namjua. Nipo serious, sipo kufanya masihara. Tafadhari. Naishi dsm