Mnene 1 Senior Member Jan 14, 2010 125 11 Jul 14, 2010 #1 natafuta binti/kijana ambae yuko tayari kufanya kazi stationary Mbeya. Awe angalao na elimu ya kidato cha nne, awe na certificate/diploma ya secretarial. mwenye interest please PM
natafuta binti/kijana ambae yuko tayari kufanya kazi stationary Mbeya. Awe angalao na elimu ya kidato cha nne, awe na certificate/diploma ya secretarial. mwenye interest please PM
FirstLady1 JF-Expert Member Jul 29, 2009 16,792 5,378 Jul 15, 2010 #2 Asante Mnene nitakutumia PM sasa hivi ,mimi nina sifa zote ..
B blackpepper JF-Expert Member Jan 19, 2010 381 16 Jul 15, 2010 #3 Mleta mada una maanisha unatafuta Mfanyakazi asiyetembea (stationary)???fafanua