Natafuta mfanyakazi wa Saloon ya Kike

Natafuta mfanyakazi wa Saloon ya Kike

Mbilimbi

Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
32
Reaction score
3
Natafuta mfanyakazi wa Saloon ya kike!eneo la kazi lipo Mbezi ya Kimara,awe anajua kufanya shughuli zote za Saloon,ni vizuri zaidi akitoka maeneo ya jirani na Mbezi,tuwasiliane kwa 0763 47 47 73
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom