Natafuta mfanyakazi wa ndani

lucas mbassa

Member
Joined
Sep 1, 2013
Posts
45
Reaction score
2
Natafuta mfanyakazi wa ndani kazi yake kubwa ni kumulea mwanangu ataishi dar mm nipo kilimanjaro.malipo yake maelewano.mazingira ya kuishi yenye yapo mazuri.angalizo asiwe mtu mcharuko.
 
Kweli maswali ni mengi kuliko majibu. Mtoto yupo Dar sijui peke yake, mzazi upo Kilimanjaro. Huu ni uzungu au? Mtoto ana umri gani, ni me au ke? Ni mlemavu au? Mwaga info hapa na qualifications za yaya unaye mtaka sio hiyo moja tu ati asiwe mcharuko. Umwachie nyumba na mtoto halafu uje ukaseme alikuja mcharuko?
Kweli sijui huyo mtoto alikufanyaje mpaka umwache kwa yaya. Udhungu mwingine bana agrrrrr
 
Weka maelezo poa usaidie ata kuwa analala kwako au wa kwenda na kurudi,utamlipa ela ngap?
 
Jamani hiyo bado ni tetesi haikathibitishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…