Kwa umri wangu sina haja ya kuleta utani kwa watu nisiowajua hapa JF.
Naomba unisaidie kunipa quotation ya meza na kiti chake kama unamjua mtaalamu wa hiyo kazi.
Tatizo la mafundi wengi wa nchi hii wamejaa kalenda na utapeli yaani hadithi nyingi kuliko maelezo ndio maana napenda imported "pay take and go"