Natafuta mediatek USB Vcom drivers

Slave

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2010
Posts
5,313
Reaction score
2,651
Habari za Leo wakuu ninatafuta driver ya mediatek usb Vcom kwa ajili ya huawei y330-u11 nimejaribu kuidownload kupitia drivermax ikagoma kwakuwa drivermax wanauza.kama kuna yeyote mwenye drivers downloader naomba anisaidie assnteni
 
Hizo hapo mkuu, kwangu zimefanya kazi vizuri tu, nimetoka kuzitumia jana. Nimekuwekea file kwenye attachment
asante mkuu,angalau nimeanza kupata mwanga. nime weka hiyo driver lkin inashindwa kumaliza ku install. tazama picha hapo.
 
Slave Jaribu ku-connect simu itakubali, mimi mwenyewe nilipo-install ilionesha hivyo kwamba kuna part ya driver haijawa installed lakni ikadetect hivyo hivyo.

Mimi nili Install kwa kutumia guadline hii kutoka forum ya Hovatek:

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…