Natafuta mdhamini

Natafuta mdhamini

nhevly

Member
Joined
Apr 28, 2018
Posts
9
Reaction score
4
Nina shamba ekar 3 nataka nifanye kilimo cha umwagiliaji.
Lipo karibu na mto mkubwa..
Nataka kulima mboga mboga nafuta mdhamini atakae nisaidia vifaa vya kilimo..
Npo mbeya mjini
Msaada jamani
 
Back
Top Bottom