Unaanza kumtisha badala ya kumtia Moyo, Unaelewa maana ya Risk Taking?wewe ndio utamfanya abaki na hayo magofu mpaka mwisho wake.Sasa kisa Cha kuangalia magofu Hadi unakufa ni Nini wakati alternative kibao,wewe lazima ni muajiriwa ndio mnakuwaga waoga waoga Sana,hela haigopwi!Mwache achukue hela akili itachangamka kwa Kasi ya rejesho mbona mjini ndio wengi tunaishi na marejeshoHuu ushauri ogopa tena ogopa jichanganye uone Bora ubaki unangalia magofu yako una amani kwenye nafsi yako , wenzako Wana biashara kubwa nk Ila hawana furaha wanawaza marejesho tu wanakula vizuri ila hawasikii radha ya chakula wanalala pazuri ila hawana usingizi Sasa jichomeke uko bank utarudi hapa jamvini ukweli hausemwi kuwa BANK KUZURI KUKOPA ILA SI KWAKILA MFANYA BIASHARA
Sasa chagua Amani,au kukaa na magofu ambayo siku ukifa familia watayauza au kupambania ndoto zako kwa namna yeyoteNashukuru kwa ushauri mkuu,ukweli nilikwisha wai kukopa kiukweli nilipata shida nasa kwenye marejesho. Nilipo maliza nikajikuta nikauza mashine yangu ya tofali pia nikauza shimo langu la mchanga ili kumaliza marejesho.
Ila kuna mdau hapa amesema kuna bank inahitwa maendeleo sijajua wao wanautaratibu gani.
Umetisha๐คBado ninatafakari, ukipata hela hutokwenda kuanzisha mradi mwingine ambao nao utaishia njiani kweli!! Unahitaji kujiweka vyema kisaikolojia kwanza.
Hii ni weekness ya kushindwa kufocus na jambo moja..ila unaanzaje kufanya kitu humalizi unahamia kingine ๐ค๐ค๐ค๐ค
Nashukuru asante mkuu. Mradi wa apartment umekamilika kuna wapangaji wapo ambayo una jumla ya familia 6 ambayo upo katika mfumo wa chumba self sebule na kijiko. ambazo zipo 3(familia 3) pia zipo self mbili ya chumba kijiko na kichoo. na cha mwisho kipo chumba na kijiko tu. hizi zimekamilika na zina watu kabisa. Lakini hapo hapo niliongeza apartment mbili za chumba jiko na sebure pamoja na choo cha ndani.Kifupi wewe ni mjinga, miradi mitano hakuna uliokamilika, unaendekeza tamaa au kuiga watu ndio maana ukiona kitu kipya unakirukia. Wajasiriamali hawako hivyo badilika.
[emoji3516]Wanajukwaa na wasalimu kwa jina la Jamhuri Tanzania.
Ndugu zangu kiukweli nahitaji mtu ama Taasisi yeyote ya kuweza kunisaidi kumalizia miradi yangu ambayo nimekwisha ianza.
1)Mradi wa kwanza kumalizia apartment mbili ambazo bado plaster, wiring ya umeme,madirisha ya vioo na mirango ya ndani.
2)Mradi mwingine ni wa ukumbi wa kuangalia mipira ambao bado kufunika,kupiga plaster pamoja na kusakafia. Ambao unao uwezo wa kuingiza watu 100 hadi 150. madirisha na mirango ipo tayari na nimekwisha ipachika.
3)Mradi mwingine ni wa kufunga mashine mbili wa kusaga nafaka pamoja na kinu chake cha kukobolea, na mashine nyingine ni mashine ya kukamua alizeti ili kutoa mafuta na kuyauza. eneo lipo tayari na jeongo lipo tayari kobado kumalizia ujenzi na kulitanua ili kupata sehemu ya kuhifadhia magunia ya alizeti na mashudu ambalo linahitaji kuongezea ujenzi. Pia kuna na ekari 25 kwa ajiri ya kupata raw materials ya kiwanda.
4)kumalizia ujenzi wa nyumba ambayo nilifungua ili kuifanya kuw shule ya watoto wadogo kindergarten class ambayo bado kuifunika lakini ina vyumba vinne pamoja ofisi ya walimu kijiko pamoja na ofisi ya mwalimu mkuu ama Mkurugenzi. imebaki kuifunika na kuweka milango na madirisha pamoja na kuchimba shimo la choo pamoja na vyumba vya choo. hapo pana chemchem ya maji kwahiyo maji si shida
5) Mradi mwingine ni wa ujenzi wa mabwawa ya samaki eneo lipo tayari pana ekari 5 pia pana source ya maji ya chini nilikwisha anza kuyatafuta maji ya chini lakini si kumalizia nilipata shida binafsi.
6) Pia kuna frame za maduka inahitaji marekebisho kidogo ili watu waingine na biashara iendelee.
Kama kuna mtu ambaye anaweza kunishika mkoo tafadhali namuhitaji sana ambaye yupo seriously .
MAWASILIANO YANGU 0710468496
0717568496
EMAIL. emkwama@gmail.com
Karibu singid.
Nashukuru asante mkuuni kweli, haya hua matokeo ya kupata hela nyingi ambayo hukuwahi kushika kwa mkupuo unakua huelewi ufanye nini
Hujaenda hata kusaliIm overwell kimanunu just feeling lazy on my bed.
Tayari nishapata wazo la kufanyia hizi pesa zangu๐๐ป๐๐ป๐๐ปnina pesa lakini sikujua nianzishe mradi ganiWanajukwaa na wasalimu kwa jina la Jamhuri Tanzania.
Ndugu zangu kiukweli nahitaji mtu ama Taasisi yeyote ya kuweza kunisaidi kumalizia miradi yangu ambayo nimekwisha ianza.
1)Mradi wa kwanza kumalizia apartment mbili ambazo bado plaster, wiring ya umeme,madirisha ya vioo na mirango ya ndani.
2)Mradi mwingine ni wa ukumbi wa kuangalia mipira ambao bado kufunika,kupiga plaster pamoja na kusakafia. Ambao unao uwezo wa kuingiza watu 100 hadi 150. madirisha na mirango ipo tayari na nimekwisha ipachika.
3)Mradi mwingine ni wa kufunga mashine mbili wa kusaga nafaka pamoja na kinu chake cha kukobolea, na mashine nyingine ni mashine ya kukamua alizeti ili kutoa mafuta na kuyauza. eneo lipo tayari na jeongo lipo tayari kobado kumalizia ujenzi na kulitanua ili kupata sehemu ya kuhifadhia magunia ya alizeti na mashudu ambalo linahitaji kuongezea ujenzi. Pia kuna na ekari 25 kwa ajiri ya kupata raw materials ya kiwanda.
4)kumalizia ujenzi wa nyumba ambayo nilifungua ili kuifanya kuw shule ya watoto wadogo kindergarten class ambayo bado kuifunika lakini ina vyumba vinne pamoja ofisi ya walimu kijiko pamoja na ofisi ya mwalimu mkuu ama Mkurugenzi. imebaki kuifunika na kuweka milango na madirisha pamoja na kuchimba shimo la choo pamoja na vyumba vya choo. hapo pana chemchem ya maji kwahiyo maji si shida
5) Mradi mwingine ni wa ujenzi wa mabwawa ya samaki eneo lipo tayari pana ekari 5 pia pana source ya maji ya chini nilikwisha anza kuyatafuta maji ya chini lakini si kumalizia nilipata shida binafsi.
6) Pia kuna frame za maduka inahitaji marekebisho kidogo ili watu waingine na biashara iendelee.
Kama kuna mtu ambaye anaweza kunishika mkoo tafadhali namuhitaji sana ambaye yupo seriously .
MAWASILIANO YANGU 0710468496
0717568496
EMAIL. emkwama@gmail.com
Karibu singid.
Wala we unaenda? ๐Hujaenda hata kusali
Nikweli mwanzo nilikuwa na biashara zangu ila nipo jiingiza kwenye mikopo ndipo upo ulipo badilika kwenye marejesho, ilinibidi kuilipa bank kupitia marejesho. Kwahiyo nikasima kuendelea kuendeleza miradi yangu hadi ikafikia kuuza shimo langu la mchanga pamoja na mashine yangu ya matofaliInawezekana siyo inshu ya tamaa ila alikuwa analamba asali,mirija imekata ghafla huku miradi mingi aliyoianzisha kwa pamoja ndiyo Kama hivyo haijaisha. Katika Hali ya kawaida mtu hwezi kuanzisha miradi mingi hivi alafu ikakwama kwa pamoja.
Nawaza tu,no hate.
๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ Wewe Bank huzioni? ๐ Akitokea mbongo akatoa hela niite mbwa nimekaa pale.
kwakweliHii ni weekness ya kushindwa kufocus na jambo moja..
pamoja sana๐๐Nashukuru asante mkuu
Binafsi sikuangalia tamaa tu pekee ila niliangalia zaidi katika kuanzisha kwanza kwakutumia materials niliyonayo kwa muda huo mkuuJamaa wewe ni mpambanaji sema una tamaa ya fisi Fanya kimoja kimoja utafanikiwa mtaka vingi Kwa pupa?
Siendi leoWala we unaenda? ๐
Singida pazuri Kwa uwekezaji hata mie napatamani japo ukweni ila nitakuja kuweza huko ukizingatia 2025 kombe linaerekea hukoBinafsi sikuangalia tamaa tu pekee ila niliangalia zaidi katika kuanzisha kwanza kwakutumia materials niliyonayo kwa muda huo mkuu