Hbr wapendwa!? Natafuta mdada wa saloon anaejua kusuka mitindo yote vizuri na kupamba maharusi.
Kama Yupo tafadhali njoo inbox.
Ni nukuu kutoka kwa muhitaji wa huyo dada wa kazi.
Eneo la kazi ni Mvuti Chanika,kama patakuwa na utata kwa sehemu ya kuishi utaishi kwa mhusika/muajiri wako.