Sawa mkuu umesikika, haya wewe una maarifa gani?Typing error. Neno la kiswahili ni Shahada.
Niwashauri vijana wa miaka ya hivi karibuni kwamba,, unaposoma andiko fulani, jikite zaidi kuuelewa ujumbe uliopo kwenye andiko hilo na sio usome huku ukitafuta cha kukosoa kwenye andiko hilo, tabia hii ni ujinga wa hali ya juu sana. Mwenye kutaka maarifa atanielewa namaanisha nini na atajitafakali lakini mpumbavu ataendelea kukosoa makosa ya kimaandishi badala ya kukosoa ujumbe uliomo kwenye andiko kisha kutoa maoni yake.
Nitolee mfano,
Mtu mmoja hapo juu kauliza, " mwezi April ulikuwa na diploma, leo September una bachelor?, Tuambie hicho chuo kinachotoa bachelor ndani ya miezi minne."
Ni hivi , kipindi naandika ujumbe huo nilikuwa ninamiliki cheti cha diploma wakati huohuo nikiwa mwaka wa tatu nikimalizia kusoma Bachelor Degree in........, Na sasa nimemaliza na matokeo yametoka sina supplimentary, unadhani leo nilipoandika andiko hilo ningesema kwa sasa nina diploma ???.
Kwa mtu mwenye akili na mwenye kufikilia kabla ya kutenda angejiuliza maswali kadhaa kabla ya kukutupuka kuja kuhoji swali la kitoto kama hilo.
Binafsi mtu huyo na mwingine wa aina hiyo nimewaza na kuwaona ni wapumbavu, walikwenda shule kujifunza ujinga, walikwenda shule kuchukua cheti na si maarifa, ndio hao wanaoshinda vijiweni wakiilalamikia serikali haiwapi ajira wakati serikali iliwapa mikopo wakasoma akili zao zinawatuma serikali iliowapa mikopo ndo hiyo hiyo wanasubiri iwape na ajira pia na ndio hao hao wanaotaka kazi za raha raha tu hususani za kukaa ofisini wakiwaza kuiibia serikali na kupiga madili, wanaamini msomi yeyote alitoka kimaisha kwa njia za madili tu na sii taaluma na uwezo wake, ni watu pia wanaoamini kazi hupatikana kwa njia ya CONNECTION na si uwezo binafsi, ndio maana wamegeuka kuwa na wasomi "makasuku" wanaokariri bila kufikiri, Fikra zao ni Tasa, hazigawanyiki kuwaza mambo kwa upana zaidi.
Niwatakie jioni njema wale wenye akili na maarifa lakini kwa wale wajinga wanaojiona kuwa wao ni sahihi kwa kila kitu waendelee kubanua madomo yao vijiweni.
Kwa jinsi ulivyoelezea hapo juu kuhusu diploma na degree yako, ni rahisi mtu kukuelewa pasi na ufafanuzi ulioutoa? Au kwa sababu wengine tulienda shule kusomea ujinga(kwa maoni yako) ndiyo maana tulishindwa kuelewa?Kuna mtu anaitwa allency nimemjibu kwa kirefu msome hapo chini maana alikuunga mkono kwa swali lako,
doh...wadada kazi mnayo...sikuizi imekuwa manufacturing industry.... [emoji38] [emoji38]
mwamba tafuta mwanamke uowe acha kuja na mambo kama haya kwenye social media ..unatufanya wote tuonekane vilaza......
kama unatamani sana watafute huko mitaani ..humu sidhani kama kunamtu yupo tayari kufanya huu upuuzi
na wewe ni kilaza na mpuuzi mwingine........umeambiwa mjibie..kama unata kumzalia mfate PM...Cha ajabu kilaza unaweza kuwa wewe kupita huyu mwamba
Niamini mimi huyu anaweza kuwa na sababu za msingi kukupita wewe
Mkuu, kwa mtu mwenye kusoma andiko na kutafakari kwa kina kabla ya kukimbilia kuanza kubeza na kuzomea angeweza kufikiria na kuelewa na kama kuna shaka yoyote angeuliza kwa lugha ya staha ili nitor fafanuzi, mimi naamini msingi wa maarifa na uelewa wa mambo huanza na busara kwanza, yaani kuwa mvumilivu katika mashauriano, utambuzi wa hii nadharia, "unaloona wewe kuwa ni sahihi kwa hoja zako za msingi, kuna mwingine analiona ni ujinga wa hali ya juu" katika mijadala huwa tunatafuta "balancing point" yaani wote tufikie mahali tukubaliane kwa kushawishiana kwa hoja.Kwa jinsi ulivyoelezea hapo juu kuhusu diploma na degree yako, ni rahisi mtu kukuelewa pasi na ufafanuzi ulioutoa? Au kwa sababu wengine tulienda shule kusomea ujinga(kwa maoni yako) ndiyo maana tulishindwa kuelewa?
Umesahau kuwa Tz ni nchi ya viwanda?doh...wadada kazi mnayo...sikuizi imekuwa manufacturing industry.... 😆 😆
Ok, swali zuri sana, unaonekana una hekima kiasi sio kama wengine waliokimbila kutukana.Akishakuzalia then what's next?
Yaani andiko lote hujauelewa ujumbe uliomo na badala yake umeenda kushangaa typing error!!,Bachelar enheee?
Aisee! Nimechunguza kwa makini sana wanaonijibu kwa matusi na kejeli ni wanaume na si wanawake, nimewaza sana nikadhani kuwa huwenda ni "Mashoga" ila nafsi inakataa kuamini hilo, nmehitimisha kwa kuamini watu hawa wanaocomment kwa kutukana ni wajinga tu hawajui maana ya mijadala, unakuta mtu anacomment hapa kwa matusi na dharau wakati ukimprofile unagundua kuwa yeye mwenyewe amebebesha mimba wadada wa watu kisha akakimbia majukumu, wadada wamezaa halafu tumizi hatoi, wadada wanajilelea watoto wao bila msaada wowote ule, wakati huo huo janaume zima linajinadi kuwa lina watoto huku halipeleki tumizi lolote kwa hao liliowapa ujauzito, nadhani anajijiua aache unafiki.mwamba tafuta mwanamke uowe acha kuja na mambo kama haya kwenye social media ..unatufanya wote tuonekane vilaza......
kama unatamani sana watafute huko mitaani ..humu sidhani kama kunamtu yupo tayari kufanya huu upuuzi
Toa ushauri sasa, kimbuka hata wewe kuna kuna jambo unafanya lakini kuna mtu anakuona kwamba unajidhalilisha.Unajidhalilisha utu wako mitandaoni humu.
Wewe nimekwambia uje kujihisi kuwa wewe ni kilaza kutokana na andiko langu??na wewe ni kilaza na mpuuzi mwingine........umeambiwa mjibie..kama unata kumzalia mfate PM...
[emoji23]doh...wadada kazi mnayo...sikuizi imekuwa manufacturing industry.... [emoji38] [emoji38]
Stress unazojaribu kuzikwepa sasa utazikuta mbeleniMimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31,
Naishi Dar es salaam- ubungo
Elimu : Bachelar
Ajira: mwajiriwa serikalini
Mdada nimtakae,
Awe na mpole na mwenye nia njema
Mzuri kiasi tu.
Umri: awe na umri usiozidi miaka 29
Mkazi wa Dar es salaam,
Elimu: Darasa la saba na kuendelea..
Ajira: asiwe na ajira au awe na ajira yoyote ni sawa tu,
Mimi nimejipanga kumhudumia mwenyewe, kikubwa akubali kubeba mimba tu, kujifungua na kushiriki kikamilifu katika kumlea mtoto wetu.
Dada aliyetayari kwa hilo aje inbox tuzungumze!.
na wewe ni kilaza na mpuuzi mwingine........umeambiwa mjibie..kama unata kumzalia mfate PM...
Mkuu ina maana mtaani unapoishi hawapo? Chuoni uliposoma? Among your classmates? Kanisani au msikitini? Hata kule kijijini kwenu ulipozaliwa? Au unaogopa kurusha ndoanoMimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31,
Naishi Dar es salaam- ubungo
Elimu : Bachelar
Ajira: mwajiriwa serikalini
Mdada nimtakae,
Awe na mpole na mwenye nia njema
Mzuri kiasi tu.
Umri: awe na umri usiozidi miaka 29
Mkazi wa Dar es salaam,
Elimu: Darasa la saba na kuendelea..
Ajira: asiwe na ajira au awe na ajira yoyote ni sawa tu,
Mimi nimejipanga kumhudumia mwenyewe, kikubwa akubali kubeba mimba tu, kujifungua na kushiriki kikamilifu katika kumlea mtoto wetu.
Dada aliyetayari kwa hilo aje inbox tuzungumze!.