Mpendasifa
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 277
- 111
Mimi ni mwanaume, umri wangu ni miaka 28,elimu yangu ni Masters. Natafuta rafiki wa kike.Aliye tayari anipm kwa mawasiliano zaidi.
j.pili kura yako usisahau kumpa lowasa utawapata wengi tu
Vigezo vyovyote vinavyohitajika mtu uwe navyo kwa hii opportunity hamna?
kweli wewe unapenda sifa kama lilvyo jina lako.